Methali 23:8 - Swahili Revised Union Version8 Tonge lile ulilokula utalitapika, Na maneno yako matamu yatakupotea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Utatapika kile kidogo ulichokula, nawe utakuwa umepoteza bure maneno yako ya kumsifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Utatapika kile kidogo ulichokula, nawe utakuwa umepoteza bure maneno yako ya kumsifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Tonge lile ulilokula utalitapika, Na maneno yako matamu yatakupotea. Tazama sura |