Isaya 7:15 - Swahili Revised Union Version15 Siagi na asali atakula, wakati ajuapo kuyakataa mabaya na kuyachagua mema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Atakula siagi na asali mpaka atakapojua kukataa mabaya na kuchagua mema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Atakula siagi na asali mpaka atakapojua kukataa mabaya na kuchagua mema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Atakula siagi na asali mpaka atakapojua kukataa mabaya na kuchagua mema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Atakula jibini na asali atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua mema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Atakula jibini na asali atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua mema. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Siagi na asali atakula, wakati ajuapo kuyakataa mabaya na kuyachagua mema. Tazama sura |