Je! Huyo aliyenifanya mimi ndani ya tumbo, siye aliyemfanya na yeye? Si yeye mmoja aliyetufinyanga tumboni?
Methali 22:2 - Swahili Revised Union Version Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote. Biblia Habari Njema - BHND Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote. Neno: Bibilia Takatifu Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: Mwenyezi Mungu ni Muumba wao wote. Neno: Maandiko Matakatifu Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: bwana ni Muumba wao wote. BIBLIA KISWAHILI Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili. |
Je! Huyo aliyenifanya mimi ndani ya tumbo, siye aliyemfanya na yeye? Si yeye mmoja aliyetufinyanga tumboni?
Sembuse yeye huwajali nyuso za wakuu, Wala hawajali matajiri kuliko maskini? Kwani wote ni kazi ya mikono yake,
Na jicho haliwezi kuuambia mkono, Sina haja na wewe; wala tena kichwa hakiwezi kuiambia miguu, Sina haja na ninyi.