Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wakorintho 12:21 - Swahili Revised Union Version

21 Na jicho haliwezi kuuambia mkono, Sina haja na wewe; wala tena kichwa hakiwezi kuiambia miguu, Sina haja na ninyi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Basi, jicho haliwezi kuuambia mkono: “Sikuhitaji wewe,” wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu: “Siwahitaji nyinyi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Basi, jicho haliwezi kuuambia mkono: “Sikuhitaji wewe,” wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu: “Siwahitaji nyinyi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Basi, jicho haliwezi kuuambia mkono: “Sikuhitaji wewe,” wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu: “Siwahitaji nyinyi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Jicho haliwezi kuuambia mkono, “Sina haja nawe!” Wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu, “Sina haja na ninyi!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Jicho haliwezi kuuambia mkono, “Sina haja nawe!” Wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu, “Sina haja na ninyi!”

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 12:21
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana sikio liliponisikia, ndipo likanibarikia; Na jicho liliponiona, likanishuhudia.

Kama mwili wote ukiwa jicho, kuko wapi kusikia? Kama wote ni sikio kuko wapi kunusa?

Lakini sasa viungo ni vingi, ila mwili ni mmoja.

Bali zaidi sana vile viungo vya mwili vidhaniwavyo kuwa vinyonge zaidi vinahitajiwa zaidi.

Naye Daudi akamwambia Abigaili, Na ahimidiwe BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye amekuleta hivi leo kunilaki;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo