Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 22:2 - Swahili Revised Union Version

2 Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: Mwenyezi Mungu ni Muumba wao wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: bwana ni Muumba wao wote.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili.

Tazama sura Nakili




Methali 22:2
9 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Huyo aliyenifanya mimi ndani ya tumbo, siye aliyemfanya na yeye? Si yeye mmoja aliyetufinyanga tumboni?


Sembuse yeye huwajali nyuso za wakuu, Wala hawajali matajiri kuliko maskini? Kwani wote ni kazi ya mikono yake,


Amwoneaye maskini humsuta Muumba wake; Bali yeye awahurumiaye wahitaji humheshimu.


Maskini na mdhalimu hukutana pamoja; BWANA huwatia nuru macho yao wote wawili.


Na jicho haliwezi kuuambia mkono, Sina haja na wewe; wala tena kichwa hakiwezi kuiambia miguu, Sina haja na ninyi.


BWANA hufukarisha mtu, na hutajirisha; Hushusha chini, tena huinua juu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo