1 Samueli 2:7 - Swahili Revised Union Version7 BWANA hufukarisha mtu, na hutajirisha; Hushusha chini, tena huinua juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwenyezi-Mungu huwafanya baadhi wawe maskini, na baadhi wawe matajiri. Wengine huwashusha, na wengine huwakweza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwenyezi-Mungu huwafanya baadhi wawe maskini, na baadhi wawe matajiri. Wengine huwashusha, na wengine huwakweza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwenyezi-Mungu huwafanya baadhi wawe maskini, na baadhi wawe matajiri. Wengine huwashusha, na wengine huwakweza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mwenyezi Mungu humfanya mtu maskini naye hutajirisha, hushusha na hukweza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, hushusha na hukweza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 BWANA hufukarisha mtu, na hutajirisha; Hushusha chini, tena huinua juu. Tazama sura |