1 Samueli 2:6 - Swahili Revised Union Version6 BWANA huua, naye hufanya kuwa hai; Hushusha hadi kuzimu, tena huleta juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mwenyezi-Mungu huua na hufufua; yeye huwashusha chini kuzimu naye huwarudisha tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mwenyezi-Mungu huua na hufufua; yeye huwashusha chini kuzimu naye huwarudisha tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mwenyezi-Mungu huua na hufufua; yeye huwashusha chini kuzimu naye huwarudisha tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “Mwenyezi Mungu huua na huhuisha; yeye hushusha hadi kaburini na hufufua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “bwana huua na huleta uhai, hushusha chini mpaka kaburini na hufufua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 BWANA huua, naye hufanya kuwa hai; Hushusha hadi kuzimu, tena huleta juu. Tazama sura |