Methali 21:28 - Swahili Revised Union Version Shahidi wa uongo atapotea; Bali mtu asikiaye atasema maneno yadumuyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shahidi mwongo ataangamia, lakini msikivu hawezi kunyamazishwa. Biblia Habari Njema - BHND Shahidi mwongo ataangamia, lakini msikivu hawezi kunyamazishwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shahidi mwongo ataangamia, lakini msikivu hawezi kunyamazishwa. Neno: Bibilia Takatifu Shahidi wa uongo ataangamia, bali maneno ya mwenye kusikia yatadumu. Neno: Maandiko Matakatifu Shahidi wa uongo ataangamia, bali maneno ya mwenye kusikia yatadumu. BIBLIA KISWAHILI Shahidi wa uongo atapotea; Bali mtu asikiaye atasema maneno yadumuyo. |
Wakamwambia, Una wazimu. Lakini yeye akasisitiza, akasema ya kwamba ndivyo ilivyo. Wakanena, Ni malaika wake.
Lakini kwa kuwa tuna roho ile ile ya imani; kama ilivyoandikwa, Niliamini, na kwa sababu hiyo nilinena; sisi nasi twaamini, na kwa sababu hiyo twanena;
Ni neno la kuaminiwa; na mambo hayo nataka uyasisitizie sana, ili wale waliomwamini Mungu wakumbuke kudumu katika matendo mema. Mambo hayo ni mazuri sana, tena yana manufaa kwa wanadamu.