Methali 21:22 - Swahili Revised Union Version Mwenye hekima huupandia mji wao wenye nguvu; Na kuziangusha nguvu za tumaini lao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenye hekima aweza kuteka mji wa wenye nguvu, na kuziporomosha ngome wanazozitegemea. Biblia Habari Njema - BHND Mwenye hekima aweza kuteka mji wa wenye nguvu, na kuziporomosha ngome wanazozitegemea. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenye hekima aweza kuteka mji wa wenye nguvu, na kuziporomosha ngome wanazozitegemea. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, na kuangusha ngome wanazozitegemea. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, na kuangusha ngome wanazozitegemea. BIBLIA KISWAHILI Mwenye hekima huupandia mji wao wenye nguvu; Na kuziangusha nguvu za tumaini lao. |