Methali 20:14 - Swahili Revised Union Version Haifai kitu, haifai kitu, asema mnunuzi; Lakini akiisha kwenda zake hujisifu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Hakifai, hakifai”, mnunuzi hulalamika, lakini akiondoka hujisifu amepunguziwa bei. Biblia Habari Njema - BHND “Hakifai, hakifai”, mnunuzi hulalamika, lakini akiondoka hujisifu amepunguziwa bei. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Hakifai, hakifai”, mnunuzi hulalamika, lakini akiondoka hujisifu amepunguziwa bei. Neno: Bibilia Takatifu “Haifai, haifai!” asema mnunuzi, kisha huondoka akijisifia ununuzi wake. Neno: Maandiko Matakatifu “Haifai, haifai!” asema mnunuzi, kisha huondoka akijisifia ununuzi wake. BIBLIA KISWAHILI Haifai kitu, haifai kitu, asema mnunuzi; Lakini akiisha kwenda zake hujisifu. |
Je! Kuna jambo lolote ambalo watu husema juu yake, Tazama, ni jambo jipya? Limekwisha kuwako, tangu zamani za kale zilizokuwa kabla yetu sisi.
Majira yamewadia, siku ile inakaribia; huyo anunuaye asifurahi, wala asihuzunike auzaye; maana ghadhabu imewapata watu wote.
Mtu asimpunje ndugu yake wala kumkosea katika jambo hili; kwa sababu Bwana ndiye alipizaye kisasi cha haya yote; kama tulivyowaambia kwanza, tukashuhudia sana.