Methali 19:4 - Swahili Revised Union Version Utajiri huongeza marafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mali huvuta marafiki wengi wapya, lakini maskini huachwa bila rafiki. Biblia Habari Njema - BHND Mali huvuta marafiki wengi wapya, lakini maskini huachwa bila rafiki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mali huvuta marafiki wengi wapya, lakini maskini huachwa bila rafiki. Neno: Bibilia Takatifu Mali huleta rafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha. Neno: Maandiko Matakatifu Mali huleta marafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha. BIBLIA KISWAHILI Utajiri huongeza marafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake. |