Upendeleo wa mfalme humwelekea mtumwa atendaye kwa busara; Bali hasira yake itakuwa juu yake aletaye aibu.
Methali 16:13 - Swahili Revised Union Version Midomo ya haki ni furaha ya wafalme; Nao humpenda yeye asemaye yaliyo sawa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mfalme hupendelea mtu asemaye kwa unyofu; humpenda mtu asemaye ukweli. Biblia Habari Njema - BHND Mfalme hupendelea mtu asemaye kwa unyofu; humpenda mtu asemaye ukweli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mfalme hupendelea mtu asemaye kwa unyofu; humpenda mtu asemaye ukweli. Neno: Bibilia Takatifu Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; humthamini mtu asemaye kweli. Neno: Maandiko Matakatifu Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; humthamini mtu asemaye kweli. BIBLIA KISWAHILI Midomo ya haki ni furaha ya wafalme; Nao humpenda yeye asemaye yaliyo sawa. |
Upendeleo wa mfalme humwelekea mtumwa atendaye kwa busara; Bali hasira yake itakuwa juu yake aletaye aibu.