Methali 14:7 - Swahili Revised Union Version Toka mbele ya uso wa mpumbavu, Maana hutaona kwake midomo ya maarifa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ondoka mahali alipo mpumbavu, maana hapo alipo hamna maneno ya hekima. Biblia Habari Njema - BHND Ondoka mahali alipo mpumbavu, maana hapo alipo hamna maneno ya hekima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ondoka mahali alipo mpumbavu, maana hapo alipo hamna maneno ya hekima. Neno: Bibilia Takatifu Kaa mbali na mtu mpumbavu, kwa maana hutapata maarifa katika midomo yake. Neno: Maandiko Matakatifu Kaa mbali na mtu mpumbavu, kwa maana hutapata maarifa katika midomo yake. BIBLIA KISWAHILI Toka mbele ya uso wa mpumbavu, Maana hutaona kwake midomo ya maarifa. |
Naye Hanania akanena mbele ya watu wote, akisema, BWANA asema hivi, Hivyo ndivyo nitakavyoivunja nira ya Nebukadneza, mfalme wa Babeli, kabla haujatimia muda wa miaka miwili kamili, na kuiondoa shingoni mwa mataifa yote. Basi nabii Yeremia akaenda zake.
Lakini, mambo yalivyo, niliwaandikia kwamba msichangamane na mtu aitwaye ndugu, akiwa ni mzinzi au mwenye kutamani au mwenye kuabudu sanamu au mtukanaji au mlevi au mnyang'anyi; mtu wa namna hii msikubali hata kula naye.