Mathayo 5:2 - Swahili Revised Union Version akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema naye akaanza kuwafundisha: Biblia Habari Njema - BHND naye akaanza kuwafundisha: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza naye akaanza kuwafundisha: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo akaanza kuwafundisha, akisema: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo akaanza kuwafundisha, akisema: BIBLIA KISWAHILI akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema, |
ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema, Nitafumbua kinywa changu kwa mifano, Nitayatamka yaliyositirika tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Naye alipowaona makundi ya watu, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia;
Na Paulo alipotaka kufunua kinywa chake, Galio akawaambia Wayahudi, Kama lingekuwa jambo la dhuluma au la hila mbaya, enyi Wayahudi, ingekuwa haki mimi kuchukuliana nanyi;
Filipo akafunua kinywa chake, naye, akianza kwa andiko lilo hilo, akamhubiria Habari Njema za Yesu.
pia na kwa ajili yangu mimi, nipewe usemi kwa kufumbua kinywa changu, ili niihubiri kwa ujasiri ile siri ya Injili;