Matendo 8:35 - Swahili Revised Union Version35 Filipo akafunua kinywa chake, naye, akianza kwa andiko lilo hilo, akamhubiria Habari Njema za Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Basi, Filipo akianzia na sehemu hiyo ya Maandiko Matakatifu, akamweleza Habari Njema juu ya Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Basi, Filipo akianzia na sehemu hiyo ya Maandiko Matakatifu, akamweleza Habari Njema juu ya Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Basi, Filipo akianzia na sehemu hiyo ya Maandiko Matakatifu, akamweleza Habari Njema juu ya Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Ndipo Filipo akaanza kutumia fungu lile la Maandiko, akamweleza Injili ya Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Ndipo Filipo akaanza kutumia fungu lile la Maandiko, akamweleza habari njema za Isa. Tazama sura |