Mathayo 5:1 - Swahili Revised Union Version1 Naye alipowaona makundi ya watu, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi Isa alipoona makundi ya watu, alipanda mlimani akaketi chini, nao wanafunzi wake wakamjia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi Isa alipoona makutano, alipanda mlimani akaketi chini, nao wanafunzi wake wakamjia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Naye alipowaona makundi ya watu, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia; Tazama sura |