Mathayo 28:14 - Swahili Revised Union Version Na jambo hili likisikika kwa mtawala, sisi tutasema naye, nanyi hamtapata shida. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.” Biblia Habari Njema - BHND Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.” Neno: Bibilia Takatifu Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.” Neno: Maandiko Matakatifu Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.” BIBLIA KISWAHILI Na jambo hili likisikika kwa mtawala, sisi tutasema naye, nanyi hamtapata shida. |
wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala.
Na Herode alipomtafuta, asimwone, aliwahoji wale walinzi, akaamuru wauawe. Kisha akateremka kutoka Yudea kwenda Kaisaria, akakaa huko.