Mathayo 27:2 - Swahili Revised Union Version2 wakamfunga, wakamchukua, wakampeleka kwa Pilato aliyekuwa mtawala. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Wakamfunga pingu, wakamchukua, wakamkabidhi kwa Pilato, mkuu wa mkoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wakamfunga pingu, wakamchukua, wakamkabidhi kwa Pilato, mkuu wa mkoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wakamfunga pingu, wakamchukua, wakamkabidhi kwa Pilato, mkuu wa mkoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wakamfunga, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato, aliyekuwa mtawala Mrumi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wakamfunga, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato, ambaye alikuwa mtawala wa Kirumi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 wakamfunga, wakamchukua, wakampeleka kwa Pilato aliyekuwa mtawala. Tazama sura |