Mathayo 28:14 - Swahili Revised Union Version14 Na jambo hili likisikika kwa mtawala, sisi tutasema naye, nanyi hamtapata shida. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Na jambo hili likisikika kwa mtawala, sisi tutasema naye, nanyi hamtapata shida. Tazama sura |