Naye katika mlima huu atauharibu utando uliowekwa juu ya watu wote, na utaji ule uliotandwa juu ya mataifa yote.
Mathayo 27:59 - Swahili Revised Union Version Yusufu akautwaa mwili, akauzongazonga katika sanda ya kitani safi, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yosefu akauchukua ule mwili, akauzungushia sanda safi ya kitani, Biblia Habari Njema - BHND Yosefu akauchukua ule mwili, akauzungushia sanda safi ya kitani, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yosefu akauchukua ule mwili, akauzungushia sanda safi ya kitani, Neno: Bibilia Takatifu Yusufu akauchukua mwili wa Isa, akaufunga kwa kitambaa cha kitani safi, Neno: Maandiko Matakatifu Yusufu akauchukua mwili wa Isa, akaufunga katika kitambaa cha kitani safi, BIBLIA KISWAHILI Yusufu akautwaa mwili, akauzongazonga katika sanda ya kitani safi, |
Naye katika mlima huu atauharibu utando uliowekwa juu ya watu wote, na utaji ule uliotandwa juu ya mataifa yote.
akauweka katika kaburi lake jipya, alilokuwa amelichonga mwambani; akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango wa kaburi, akaenda zake.
Naye akanunua sanda ya kitani, akamteremsha, akamfungia ile sanda, akamweka katika kaburi lililochongwa mwambani; akavingirisha jiwe mbele ya mlango wa kaburi.
Akaushusha, akauzinga sanda ya kitani, akauweka katika kaburi lililochongwa mwambani, ambalo hajalazwa mtu bado ndani yake.