Lakini nikijikwaa wanafurahi na kukusanyana, Walinikusanyikia watu ovyo nisiowajua, Wakanipapura bila kukoma.
Mathayo 27:44 - Swahili Revised Union Version Pia wale wanyang'anyi waliosulubiwa pamoja naye walimshutumu vile vile. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana. Biblia Habari Njema - BHND Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana. Neno: Bibilia Takatifu Hata wale wanyang’anyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo. Neno: Maandiko Matakatifu Hata wale wanyang’anyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo. BIBLIA KISWAHILI Pia wale wanyang'anyi waliosulubiwa pamoja naye walimshutumu vile vile. |
Lakini nikijikwaa wanafurahi na kukusanyana, Walinikusanyikia watu ovyo nisiowajua, Wakanipapura bila kukoma.
Wakati uo huo wanyang'anyi wawili wakasulubiwa pamoja naye, mmoja katika mkono wake wa kulia, na mmoja katika mkono wake wa kushoto.
Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Hata wale waliosulubiwa pamoja naye wakamsuta.
Kwa maana Kristo naye hakujipendeza mwenyewe; bali kama ilivyoandikwa, Matusi yao waliokutusi wewe yalinipata mimi.
Lakini mmoja wenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.