Mathayo 27:44 - Swahili Revised Union Version44 Pia wale wanyang'anyi waliosulubiwa pamoja naye walimshutumu vile vile. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Hata wale wanyang’anyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Hata wale wanyang’anyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI44 Pia wale wanyang'anyi waliosulubiwa pamoja naye walimshutumu vile vile. Tazama sura |