Walipokaribia Yerusalemu, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia,
Mathayo 26:30 - Swahili Revised Union Version Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda katika mlima wa Mizeituni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Neno: Bibilia Takatifu Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. Neno: Maandiko Matakatifu Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. BIBLIA KISWAHILI Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda katika mlima wa Mizeituni. |
Walipokaribia Yerusalemu, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia,
Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
Basi, kila mchana alikuwa akifundisha hekaluni, na usiku huenda kulala katika mlima uitwao wa Mizeituni.
Akasema, Simoni, Simoni, tazama, Shetani amewataka ninyi apate kuwapepeta kama vile ngano;
Akatoka akaenda mpaka mlima wa Mizeituni kama ilivyokuwa desturi yake; wanafunzi wake nao wakafuatana naye.
Lakini ulimwengu ujue ya kuwa nampenda Baba; na kama vile Baba alivyoniamuru; ndivyo nifanyavyo. Ondokeni, twendeni zetu.