Luka 22:31 - Swahili Revised Union Version31 Akasema, Simoni, Simoni, tazama, Shetani amewataka ninyi apate kuwapepeta kama vile ngano; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 “Simoni, Simoni! Sikiliza! Shetani alitaka kuwapepeta nyinyi kama mtu anavyopepeta ngano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 “Simoni, Simoni! Sikiliza! Shetani alitaka kuwapepeta nyinyi kama mtu anavyopepeta ngano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 “Simoni, Simoni! Sikiliza! Shetani alitaka kuwapepeta nyinyi kama mtu anavyopepeta ngano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Isa akasema, “Simoni, Simoni, sikiliza, Shetani ameomba kuwapepeta ninyi wote kama ngano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Isa akasema, “Simoni, Simoni, sikiliza, Shetani ameomba kuwapepeta ninyi wote kama ngano. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Akasema, Simoni, Simoni, tazama, Shetani amewataka ninyi apate kuwapepeta kama vile ngano; Tazama sura |