Mathayo 26:22 - Swahili Revised Union Version Wakahuzunika sana, wakaanza kumwuliza mmoja mmoja, Ni mimi, Bwana? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi wakahuzunika sana, wakaanza kuuliza mmojammoja, “Bwana! Je, ni mimi?” Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi wakahuzunika sana, wakaanza kuuliza mmojammoja, “Bwana! Je, ni mimi?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi wakahuzunika sana, wakaanza kuuliza mmojammoja, “Bwana! Je, ni mimi?” Neno: Bibilia Takatifu Wakahuzunika sana, wakaanza kumuuliza mmoja baada ya mwingine, “Je, ni mimi Bwana?” Neno: Maandiko Matakatifu Wakahuzunika sana, wakaanza kumuuliza mmoja baada ya mwingine, “Je, ni mimi Bwana?” BIBLIA KISWAHILI Wakahuzunika sana, wakaanza kumwuliza mmoja mmoja, Ni mimi, Bwana? |
Akajibu akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika bakuli, ndiye atakayenisaliti.
Akamwambia mara ya tatu, Simoni wa Yohana, wanipenda? Petro alihuzunika kwa vile alivyomwambia mara ya tatu, Wanipenda? Akamwambia, Bwana, wewe wajua yote; wewe umetambua ya kuwa nakupenda. Yesu akamwambia, Lisha kondoo wangu.