Mathayo 26:23 - Swahili Revised Union Version23 Akajibu akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika bakuli, ndiye atakayenisaliti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Yesu akajibu, “Anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli ndiye atakayenisaliti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Yesu akajibu, “Anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli ndiye atakayenisaliti. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Yesu akajibu, “Anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli ndiye atakayenisaliti. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Isa akawaambia, “Yule aliyechovya mkono wake katika bakuli pamoja nami ndiye atakayenisaliti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Isa akawaambia, “Yule aliyechovya mkono wake katika bakuli pamoja nami ndiye atakayenisaliti. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Akajibu akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika bakuli, ndiye atakayenisaliti. Tazama sura |