Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwamwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
Mathayo 24:25 - Swahili Revised Union Version Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati. Biblia Habari Njema - BHND Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati. Neno: Bibilia Takatifu Tazameni, nimekwisha kuwaambia mapema. Neno: Maandiko Matakatifu Angalieni, nimekwisha kuwaambia mapema. BIBLIA KISWAHILI Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele. |
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwamwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule.
Nimetangulia kuwaambia; na, kama vile nilipokuwapo mara ya pili, vivyo hivyo sasa nisipokuwapo, nawaambia wazi wao waliotenda dhambi tangu hapo, na wengine wote, ya kwamba, nikija, sitahurumia;