Mathayo 24:26 - Swahili Revised Union Version26 Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 “Basi mtu yeyote akiwaambia, ‘Yule kule nyikani,’ msiende huko. Au akisema, ‘Yuko kwenye chumba,’ msisadiki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 “Kwa hiyo mtu yeyote akiwaambia, ‘Yule kule nyikani,’ msiende huko. Au akisema, ‘Yuko kwenye chumba,’ msisadiki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki. Tazama sura |