Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 24:25 - Swahili Revised Union Version

25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Tazameni, nimekwisha kuwaambia mapema.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Angalieni, nimekwisha kuwaambia mapema.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.

Tazama sura Nakili




Mathayo 24:25
9 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwamwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.


Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule.


Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.


Na hayo yatakuwa ushuhuda kwenu.


Maneno hayo nimewaambia, msije mkakwazwa.


Nimetangulia kuwaambia; na, kama vile nilipokuwapo mara ya pili, vivyo hivyo sasa nisipokuwapo, nawaambia wazi wao waliotenda dhambi tangu hapo, na wengine wote, ya kwamba, nikija, sitahurumia;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo