Mathayo 23:10 - Swahili Revised Union Version Wala msiitwe viongozi; maana Kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo. Biblia Habari Njema - BHND Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo. Neno: Bibilia Takatifu Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye mwalimu mmoja tu, ndiye Al-Masihi. Neno: Maandiko Matakatifu Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye Mwalimu mmoja tu, ndiye Al-Masihi. BIBLIA KISWAHILI Wala msiitwe viongozi; maana Kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. |
Akasema, Nendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu asema, Majira yangu ni karibu; kwako nitafanya Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.