Mathayo 23:10 - Swahili Revised Union Version10 Wala msiitwe viongozi; maana Kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye mwalimu mmoja tu, ndiye Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye Mwalimu mmoja tu, ndiye Al-Masihi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Wala msiitwe viongozi; maana Kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. Tazama sura |