Mathayo 22:20 - Swahili Revised Union Version Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Neno: Bibilia Takatifu Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?” Neno: Maandiko Matakatifu Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?” BIBLIA KISWAHILI Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii? |
Wakamwambia, Ni ya Kaisari. Akawaambia, Basi, mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.