Mathayo 22:1 - Swahili Revised Union Version Yesu akajibu, akawaambia tena kwa mifano, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano: Biblia Habari Njema - BHND Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano: Neno: Bibilia Takatifu Isa akasema nao tena kwa mifano, akawaambia, Neno: Maandiko Matakatifu Isa akasema nao tena kwa mifano, akawaambia, BIBLIA KISWAHILI Yesu akajibu, akawaambia tena kwa mifano, akisema, |
Akasema, Ninyi mmepewa kuzijua siri za ufalme wa Mungu; bali wengine kwa mifano, ili wakiona wasione, na wakisikia wasielewe.