Mathayo 21:45 - Swahili Revised Union Version Wakuu wa makuhani na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, walitambua ya kuwa anawanenea wao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao. Biblia Habari Njema - BHND Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao. Neno: Bibilia Takatifu Viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Isa, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao. Neno: Maandiko Matakatifu Viongozi wa Makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Isa, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao. BIBLIA KISWAHILI Wakuu wa makuhani na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, walitambua ya kuwa anawanenea wao. |
Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vipande vipande; naye yeyote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.
Mtu mmoja katika wanasheria akajibu, akamwambia, Mwalimu, kwa kusema hayo umetushutumu sisi nasi.
Nao waandishi na wakuu wa makuhani walitaka kumkamata saa iyo hiyo, wakawaogopa watu, maana walitambua ya kwamba mfano huu amewanenea wao.