Mathayo 12:12 - Swahili Revised Union Version12 Je! Mtu ni bora kuliko kondoo mara ngapi? Basi ni halali kutenda mema siku ya sabato. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini, mtu ana thamani kuliko kondoo! Basi, ni halali kutenda mema siku ya Sabato.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini, mtu ana thamani kuliko kondoo! Basi, ni halali kutenda mema siku ya Sabato.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini, mtu ana thamani kuliko kondoo! Basi, ni halali kutenda mema siku ya Sabato.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mtu ana thamani kubwa kuliko kondoo. Kwa hiyo ni halali kutenda mema siku ya Sabato.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Mtu ana thamani kubwa kuliko kondoo. Kwa hiyo ni halali kutenda mema siku ya Sabato.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Je! Mtu ni bora kuliko kondoo mara ngapi? Basi ni halali kutenda mema siku ya sabato. Tazama sura |