Luka 20:19 - Swahili Revised Union Version19 Nao waandishi na wakuu wa makuhani walitaka kumkamata saa iyo hiyo, wakawaogopa watu, maana walitambua ya kwamba mfano huu amewanenea wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Waalimu wa sheria na makuhani wakuu walifahamu kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu, na hivyo walitaka kumkamata palepale, ila tu waliogopa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Waalimu wa sheria na makuhani wakuu walifahamu kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu, na hivyo walitaka kumkamata palepale, ila tu waliogopa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Waalimu wa sheria na makuhani wakuu walifahamu kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu, na hivyo walitaka kumkamata palepale, ila tu waliogopa watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Walimu wa Torati na viongozi wa makuhani wakatafuta njia ya kumkamata mara moja, kwa sababu walifahamu kwamba amesema mfano huo kwa ajili yao. Lakini waliwaogopa watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Walimu wa Torati na viongozi wa makuhani wakatafuta njia ya kumkamata mara moja, kwa sababu walifahamu kwamba amesema mfano huo kwa ajili yao. Lakini waliwaogopa watu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Nao waandishi na wakuu wa makuhani walitaka kumkamata saa hiyo hiyo, wakawaogopa watu, maana walitambua ya kwamba mfano huu amewanenea wao. Tazama sura |