Luka 20:18 - Swahili Revised Union Version18 Kila mtu aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjikavunjika; na yeyote ambaye litamwangukia litamsaga kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Mtu yeyote akianguka juu ya jiwe hilo atavunjika vipandevipande; na likimwangukia mtu yeyote, litamponda.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Mtu yeyote akianguka juu ya jiwe hilo atavunjika vipandevipande; na likimwangukia mtu yeyote, litamponda.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Mtu yeyote akianguka juu ya jiwe hilo atavunjika vipandevipande; na likimwangukia mtu yeyote, litamponda.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kila mtu aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vipande vipande, lakini yule litakayemwangukia atasagwa kabisa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kila mtu aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vipande vipande, lakini yule litakayemwangukia atasagwa kabisa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Kila mtu aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjikavunjika; na yeyote ambaye litamwangukia litamsaga kabisa. Tazama sura |