Mathayo 21:45 - Swahili Revised Union Version45 Wakuu wa makuhani na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, walitambua ya kuwa anawanenea wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 Viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Isa, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 Viongozi wa Makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Isa, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI45 Wakuu wa makuhani na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, walitambua ya kuwa anawanenea wao. Tazama sura |