Mathayo 17:23 - Swahili Revised Union Version Wakasikitika sana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watamuua, lakini siku ya tatu atafufuliwa.” Wanafunzi wakahuzunika mno. Biblia Habari Njema - BHND Watamuua, lakini siku ya tatu atafufuliwa.” Wanafunzi wakahuzunika mno. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watamuua, lakini siku ya tatu atafufuliwa.” Wanafunzi wakahuzunika mno. Neno: Bibilia Takatifu Nao watamuua, lakini siku ya tatu atafufuliwa.” Wanafunzi wakahuzunika sana. Neno: Maandiko Matakatifu Nao watamuua, lakini siku ya tatu atafufuliwa.” Wanafunzi wakahuzunika sana. BIBLIA KISWAHILI Wakasikitika sana. |
Nguvu zangu zimekauka kama gae, Ulimi wangu waambatana na taya zangu; Unaniweka katika mavumbi ya mauti
Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake.
Na baada ya yale majuma sitini na mawili, masihi atakatiliwa mbali, naye atakuwa hana kitu; na watu wa mkuu atakayekuja watauangamiza mji, na patakatifu; na mwisho wake utakuwa pamoja na gharika, na hata mwisho ule vita vitakuwapo; ukiwa umekwisha kukusudiwa.
Amka, Ee upanga, juu ya mchungaji wangu, na juu ya mtu aliye mwenzangu, asema BWANA wa majeshi; mpige mchungaji, nao kondoo watatawanyika; nami nitaugeuza mkono wangu juu ya wadogo.
Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
Na walipokuwa wakishuka mlimani, Yesu aliwaagiza, akasema, Msimwambie mtu yeyote habari ya maono hayo, hadi Mwana wa Adamu atakapofufuka katika wafu.
kisha watampeleka kwa Mataifa wapate kumdhihaki, na kumpiga mijeledi, na kumsulubisha; na siku ya tatu atafufuka.
wakasema, Bwana, tumekumbuka kwamba yule mjanja alisema, alipokuwa angali hai, Baada ya siku tatu nitafufuka.
Akaanza kuwafundisha kwamba imempasa Mwana wa Adamu kupatikana na mateso mengi, na kukataliwa na wazee, na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na baada ya siku tatu kufufuka.