Marko 9:30 - Swahili Revised Union Version30 Wakatoka huko, wakapita katikati ya Galilaya; naye hakutaka mtu kujua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Yesu na wanafunzi wake waliondoka hapo, wakaendelea na safari kupitia wilaya ya Galilaya. Yesu hakupenda watu wajue alipokuwa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Yesu na wanafunzi wake waliondoka hapo, wakaendelea na safari kupitia wilaya ya Galilaya. Yesu hakupenda watu wajue alipokuwa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Yesu na wanafunzi wake waliondoka hapo, wakaendelea na safari kupitia wilaya ya Galilaya. Yesu hakupenda watu wajue alipokuwa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Wakaondoka huko, wakapitia Galilaya. Isa hakutaka mtu yeyote afahamu mahali walipo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Wakaondoka huko, wakapitia Galilaya. Isa hakutaka mtu yeyote afahamu mahali walipo, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Wakatoka huko, wakapita katikati ya Galilaya; naye hakutaka mtu kujua. Tazama sura |