Mathayo 17:13 - Swahili Revised Union Version Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za Yohana Mbatizaji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji. Biblia Habari Njema - BHND Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza nao habari za Yahya. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza nao habari za Yahya. BIBLIA KISWAHILI Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za Yohana Mbatizaji. |
ila nawaambia, ya kwamba Eliya amekwisha kuja, wasimtambue, lakini wakamtenda yote waliyotaka. Vivyo hivyo Mwana wa Adamu naye yuaenda kuteswa kwao.