Mathayo 17:13 - Swahili Revised Union Version13 Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za Yohana Mbatizaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza nao habari za Yahya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza nao habari za Yahya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za Yohana Mbatizaji. Tazama sura |