Mathayo 17:14 - Swahili Revised Union Version14 Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Isa na kupiga magoti mbele yake, akasema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Isa na kupiga magoti mbele yake, akasema, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema, Tazama sura |