Mathayo 16:5 - Swahili Revised Union Version Nao wanafunzi wakaenda hadi ng'ambo, wakasahau kuchukua mikate. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate. Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate. Neno: Bibilia Takatifu Wanafunzi wake walipofika ng’ambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate. Neno: Maandiko Matakatifu Wanafunzi wake walipofika ng’ambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate. BIBLIA KISWAHILI Nao wanafunzi wakaenda hadi ng'ambo, wakasahau kuchukua mikate. |
Kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya Yona. Akawaacha, akaenda zake.