Mathayo 16:5 - Swahili Revised Union Version5 Nao wanafunzi wakaenda hadi ng'ambo, wakasahau kuchukua mikate. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wanafunzi wake walipofika ng’ambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wanafunzi wake walipofika ng’ambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Nao wanafunzi wakaenda hadi ng'ambo, wakasahau kuchukua mikate. Tazama sura |