Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Mathayo 15:37 - Swahili Revised Union Version

Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate makanda saba, yamejaa.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate makanda saba, yamejaa.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Mathayo 15:37
10 Marejeleo ya Msalaba  

Basi akawaandalia, nao wakala, wakasaza, sawasawa na neno la BWANA.

Maana hushibisha nafsi yenye shauku, Na nafsi yenye njaa huijaza mema.

Wanafunzi wake wakamwambia, Tupate wapi mikate mingi hapa nyikani, hata kushibisha mkutano mkuu namna hii?

Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Wenye njaa amewashibisha mema, Na wenye mali amewaondoa mikono mitupu.

Wanafunzi wake wakamtwaa usiku wakamshusha ukutani, wakimteremsha katika kapu.