2 Wafalme 4:44 - Swahili Revised Union Version44 Basi akawaandalia, nao wakala, wakasaza, sawasawa na neno la BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Mtumishi wake akawaandalia chakula, wakala wote wakashiba, na kingine kikabaki, kama Mwenyezi-Mungu alivyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Mtumishi wake akawaandalia chakula, wakala wote wakashiba, na kingine kikabaki, kama Mwenyezi-Mungu alivyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Mtumishi wake akawaandalia chakula, wakala wote wakashiba, na kingine kikabaki, kama Mwenyezi-Mungu alivyosema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Basi akaiandaa mbele yao ile mikate, wakala na baadhi yake wakasaza, sawasawa na neno la Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Basi akaiandaa mbele yao ile mikate, wakala na baadhi yake wakasaza, sawasawa na neno la bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI44 Basi akawaandalia, nao wakala, wakasaza, sawasawa na neno la BWANA. Tazama sura |