Mathayo 14:18 - Swahili Revised Union Version Akasema, Nileteeni hapa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawaambia, “Nileteeni hapa.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawaambia, “Nileteeni hapa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawaambia, “Nileteeni hapa.” Neno: Bibilia Takatifu Akawaambia, “Nileteeni hivyo vitu hapa.” Neno: Maandiko Matakatifu Akawaambia, “Nileteeni hivyo vitu hapa.” BIBLIA KISWAHILI Akasema, Nileteeni hapa. |
Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi, wanafunzi wakawapa makutano.
Akawaagiza mkutano waketi chini; akaitwaa ile mikate saba, akashukuru, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawaandalie; wakawaandalia mkutano.
Yesu akasema, Waketisheni watu. Na mahali pale palikuwa na majani tele. Basi wanaume wakaketi, wapata elfu tano jumla yao.