Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
Mathayo 10:9 - Swahili Revised Union Version Msichukue dhahabu, wala fedha, wala pesa mishipini mwenu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba. Biblia Habari Njema - BHND Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba. Neno: Bibilia Takatifu Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu. Neno: Maandiko Matakatifu Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu. BIBLIA KISWAHILI Msichukue dhahabu, wala fedha, wala pesa mishipini mwenu; |
Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
Akawaita wale Kumi na Wawili, akaanza kuwatuma wawili wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu;
Akawauliza, Je! Hapo nilipowatuma hamna mfuko, wala mkoba, wala viatu, mlipungukiwa na kitu? Wakasema, La!