Mathayo 10:9 - Swahili Revised Union Version9 Msichukue dhahabu, wala fedha, wala pesa mishipini mwenu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Msichukue dhahabu, wala fedha, wala pesa mishipini mwenu; Tazama sura |